Nahitaji
Mimi ni mchimbaji halali wa dhahabu mwenye vibali vyote vya serikali (PMLs).
Mtaji wa kuendesha uchimbaji unasuasua hivyo ninatafuta mshirika (investor) atakayechangia mtaji wa kuendeleza shughuli za uchimbaji ikiwemo chakula cha wafanyakazi vifaa na mishahara.
Mapato tutagawana kwa asilimia tutakazokubaliana kupitia makubaliano rasmi ya kisheria.
Ikiwa una nia ya kuwekeza wasiliana nami, karibu tufanye kazi.