Jina kamili
Mkoa
Mbeya
Mahali
Chunya
Nahitaji
Nahitaji mtaalamu wa kushughulikia Environmental Impact Assessment (EIA) kwa ajili ya kampuni cha uchimbaji madini.
Mawasiliano
Jina kamili
Mkoa
Mbeya
Mahali
Chunya
Nahitaji
Mimi ni mchimbaji halali wa dhahabu mwenye vibali vyote vya serikali (PMLs).
Mtaji wa kuendesha uchimbaji unasuasua hivyo ninatafuta mshirika (investor) atakayechangia mtaji wa kuendeleza shughuli za uchimbaji ikiwemo chakula cha wafanyakazi vifaa na mishahara.
Mapato tutagawana kwa asilimia tutakazokubaliana kupitia makubaliano rasmi ya kisheria.
Ikiwa una nia ya kuwekeza wasiliana nami, karibu tufanye kazi.
Mawasiliano